CHEMSHA bongo, niambie hizo picha hapo juu ni akina nani.
Ukipata nakupa zawadi, nina hakika hutaweza kuwatambua, kwa kukusaidia tu, huyo wa juu ni mwanamke maarufu sana duniani, huyo wa chini ni............changamka.
Huyo wa kwanza ni Madonna. Huyu wa pili nadhani ni Cristina Fernandez raisi wa sasa wa Argentina. Sijui lakini nimejaribu. Na wengine wajaribu na majibu utupatie nasi tufahamu.
Huyo wa kwanza ni Madonna.
ReplyDeleteHuyu wa pili nadhani ni Cristina Fernandez raisi wa sasa wa Argentina.
Sijui lakini nimejaribu.
Na wengine wajaribu na majibu utupatie nasi tufahamu.
Huyo mrembo anaitwa Madonna mwaka 1979.
ReplyDeleteMImi flaviana Karata
0767-797777
Huyo ni Madonna mwaka 1979.
ReplyDeleteFlaviana Karata
0767-797777
HUYO NI MTOTO WA MADONNA JINA SILIJUI
ReplyDeleteANNA
0783654666