Monday, April 20, 2009

Familia ya Obama ilivyompokea mbwa Ikulu




































Bo Obama

Rais Obama, Michelle wakimtambulisha Bo kwa watoto wao


Bo akitembelezwa viwanja vya White House


Bo na Rais Obama koridoni White House


Bo akionyeshwa mandhari ya Ikulu ya Marekani .

Mbwa hyo mwenye umri wa miezi sita ana asili ya Ureno.

Alianza kuishi White House Aprili 14 mwaka huu na ni mara ya kwanza kwa familia ya Obama kuishi na mbwa.
Mtoto wa kwanza wa Rais Obama, Malia (10) ana aleji na mbwa lakini kwa kuwa kiongozi huyo aliwaahidi wanawe kuwapelekea mbwa hivyo ilibidi itafutwe aina ya mbwa ambaye hatamdhuru.

No comments:

Post a Comment