Saturday, February 14, 2009

Watoto wamezaa mtoto













WATOTO wawili nchini Uingereza wamezaa mtoto, baba na umri wa miaka 13, mama ana miaka 15.

Baba wa kachanga, Alfie Patten na mama wa mtoto mwenzao, Chantelle Steadman wanaendelea kujizoeza kulea kwa msaada wa wazazi wao.

Chantelle alijifungua mtoto wa kike Jumatatu wiki hii, kachanga kamepewa jina la Maisie Roxanne.

Watoto hao walipeana ujauzito wakati Alfie alipokuwa na umri wa miaka 12, walifanya ngono mara moja bila condom, Chantelle akitaa kutoa mimba.

No comments:

Post a Comment