Friday, February 6, 2009

Mzee wa Vijisenti



Wakati wa ziara ya Naibu Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi(CCM), George Mkuchika mkoani Shinyanga miezi michache iliyopita, Andrew Chenge aliahidi Kukisaidia chama kulikomboa jimbo la Cheyo, ataweza?

No comments:

Post a Comment