Monday, February 9, 2009

Maziwa ya mtoto

KUNA mdau kanitumia ujumbe huo chini anaomba msaada wenu,msaidieni tafadhali kupitia blog hii.

"Natafuta maziwa kwa ajili ya mtoto wangu, ana miezi mitatu, mama yake anaishiwa maziwa siku zinavyozidi. Hapa bongo mnanishauri nitumie maziwa gani?"

1 comment: