Wednesday, February 11, 2009

Hayawi hayawi yamekuwa



Kiongozi wa upinzani nchini Zimbabwe, Morgan Tsvangirai, leo ameapishwa kuwa Waziri Mkuu wa nchi hiyo. ZANU PF na MDC wataunda Serikali ya umoja ikiwa ni matokeo ya makubaliano waliyosaini Septemba mwaka jana.

No comments:

Post a Comment