Kocha wa Arsenal, Arsene Wenger anasema, si tatizo kwake kusajili ila kuna mambo ya kuzingatia ukiwemo umri wa mchezaji, kipaji chake na bei ya kumuuza baadaye.
Wenger anasema, kwake tatizo si fedha ila anatafuta mchezaji mwenye vigezo vinne kikiwemo cha namna nyota huyo anavyoweza kuiboresha timu hiyo.
Soma hapo chini
It’s not the prices, it’s the players. At the moment I’m focused on the players we have. 
The money is never a problem if you have 
to pay what is requested. The price of a player is down to four 
ingredients. 
One is the talent, two his age, three is how much you 
expect him to improve your team, and four his resale value. 
If he ticks 
all four boxes then the price is not that important. You have to find 
the player.
Source:Arsenal
 

 
No comments:
Post a Comment