Saturday, January 16, 2016

Basi lapata ajali likitoka Kondoa kwenda Dar

Basi lililotajwa kwa jina KIRUTO lililokuwa likitoka Kondoa kwenda Dar es Salaam limepata ajali leo eneo la Gairo.

Inasadikiwa kuwa kuna watu wamepoteza maisha.

Taarifa zaidi baadaye.
 

No comments:

Post a Comment