Thursday, July 30, 2015

Lowassa achukua fomu ya urais Chadema

LOWASA (2)Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa leo amechukua fomu ya kugombea urais kwa tiketi ya Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema).

Lowassa amechukua fomu hizo katika ofisi kuu za Chadema, Kinondoni jijini Dar es Salaam. 

Miongoni wa waliokuwepo katika tukio hilo ni Mwenyekiti wa chama hicho taifa, Freeman Mbowe na mke wa Lowassa, Regina.

No comments:

Post a Comment