Monday, June 15, 2015

Mufti afariki dunia

Mufti wa Tanzania, Sheikh Issa bin Shaaban Simba amefariki dunia leo jijini Dar es Salaam.

Inadaiwa kuwa, kiongozi huyo mkuu wa dini ya Kiislamu nchini ameaga dunia baada ya kusumbuliwa na maradhi ya kisukari na presha.

Taarifa zaidi kuhusu msiba huo zitatolewa baadaye.

No comments:

Post a Comment