Thursday, November 13, 2014
Kim Kardashian ajivunia glasi kwenye makalio
Mmoja wa wanawake maarufu zaidi duniani hivi sasa, Kim Kardashian, ametoa kali baada ya kujivunia KIPAJI cha kuweza kuweka glasi kwenye makalio yake na ikakaa!
Msanii huyo mke wa mwanamuziki Kanye West, anasema "Na wanasema sikuwa na kipaji, jaribu kuweka glasi ya mvinyo kwenye makalio yako ikae"
No comments:
Post a Comment
Newer Post
Older Post
Home
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
No comments:
Post a Comment