Sunday, October 19, 2014

'Nilitoka' na Rais, kaniumiza'

Binti muigizaji ambaye pia ni mwanamuziki, Ella Martins, amesema, alikuwa na uhusiano wa kimapenzi na Rais lakini ameuumiza moyo wake.
 
Amesema, uhusiano wake na Rais ulimsaidia 'kukua', na kwamba, si rahisi kuwa na uhusiano wa kimapenzi na Rais.
 
Msichana huyo amesema, kitendo cha yeye 'kutoka' na Rais ni stori ndefu na kwamba, sasa ni vigumu kwake kuwa na uhusiano na mtu wa kawaida.
 
Soma hapo chini 
 
In July,she said people thought her president boyfriend was Olusegun Obasanjo..now, she told Vanguard the unnamed president broke her heart .
Yes, a president broke my heart. The relationship I had with the president is a long story.
 I fell in love with him because he was attentive and mature. In fact the relationship made me mature. 

 It’s not easy dating a president. I am even working on a movie based on that experience. 

Since dating the president, I found it difficult to date an ordinary person.

No comments:

Post a Comment