Friday, October 3, 2014

Kingunge- Tumshukuru Mungu

“Mimi nimekaa pale Ikulu mara zote mzee Kingunge (Ngombale Mwiru), amekuwa akiapa bila kushika Bibilia wala Kurani, lakini leo kwa mara ya kwanza amesema tumshukuru Mungu,” 

Waziri Mkuu, Mizengo Pinda

No comments:

Post a Comment