Saturday, September 6, 2014

Pikipiki kusajiliwa upya

“Kwa mantiki hiyo, wamiliki wote wa pikipiki za magurudumu mawili na matatu wanajulishwa kuwa namba zote zitabadilishwa kuanzia Oktoba mosi mwaka huu, hivyo wamiliki wa vyombo hivyo wanatakiwa kufika katika ofisi za TRA kwa ajili ya utaratibu huo ,”

Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA)

No comments:

Post a Comment