Wednesday, September 17, 2014

ISIS wapanga kumuua Papa Francis

Siku chache baada ya kundi la kigaidi la ISIS kuwachinja waandishi 2 wa habari na mfanyakazi wa shirika la kujitolea, kuna taarifa zinazodai kuwa, sasa kuna mipango ya kumuua Kiongozi wa Kanisa Katoliki duniani, Papa Francis.

Mwakilishi wa serikali ya Iraq Vatican, Habeeb Al Sadr, amekaririwa akisema kuwa, tishio kwa maisha ya Papa Francis ni la kweli na kwamba, ISIS wanataka kumuua na wanapanga kufanya hivyo.

Aina ya maisha ya kiongozi huyo yanazidisha mashaka hayo kwa kuwa, anajichanganya sana kwa watu na amekataa gari la kumlinda.

Soma zaidi hapo chini

A few weeks back, TB Joshua said the pope should be prayed for .He didn't give details but said he sees danger.

Well, the Prime Minister of Iraq is revealing that there are serious threats to the Pope's Life by the dreaded ISIS.

Habeeb Al Sadr , Iraq's ambassador to the Holy See issued the stark warning today after Vatican officials insisted there was no threat to his safety - and said he will not ride in the bulletproof 'Popemobile' of his predecessor Benedict XVI.Mr Al Sadr,told Italian paper,La Nazione: 

'Threats against the Pope are credible. Public statements and crimes against Christianity by Isis are a fact. Just put two and two together. Let me be clear, I am not aware of specific facts or operational projects. But what has been said by the self-declared "Islamic state" terrorists is clear. They want to kill the Pope.

No comments:

Post a Comment