Tuesday, August 5, 2014

Wambura akomaa

“Kuwavua wanachama 72 uanachama kwa mujibu wa Katiba ya Simba Ibara 54(5) mtu yeyote anayetakiwa kufutwa uanachama, lazima apewe maandishi na mpaka sasa siamini kama nimefukuzwa, niseme kwamba mpaka sasa sijapata barua ya kufukuzwa, mpango wa viongozi hao wachache wa kutufuta uanachama hautafanikiwa,”

Michael Wambura

No comments:

Post a Comment