Saturday, August 30, 2014

Uraia pacha

“Usalama wa taifa wanaosema unahatarishwa ni upi ni kwa mtanzania aliye nje kuja nchini kwake au kumpa uraia wa pili Mnyarwanda ambaye nchi yake inaruhusu uraia pacha na ukamnyang’anya hati ya kusafiria na akienda kwao atapewa nyingine huku akitoa siri za nchi na yule mfanyakazi wa serikali mwenye siri nyingi anayezitoa kwa kupokea rushwa. 

Marekani inaweza kuleta satelaiti ikasikiliza mawasiliano ya nchini. Hivi si vigezo vya kumnyima uraia mtanzania aliye nje”.

Mwakilishi wa Diaspora, Kadari Singo 

No comments:

Post a Comment