Saturday, August 2, 2014

Ukawa

“Hawa Ukawa wanamvuruga tu Msajili kwa sababu hawaeleweki ni kitu gani hasa wanachokitaka…kwa kweli wamem-put off (kuvunja moyo, kuvunja nguvu) Msajili wa vyama vya siasa, uwezekano wa kufikia maafikiano na maridhiano ili tuweze kurejea bungeni kuendelea na mchakato wa kutafuta Katiba mpya ni mdogo sana,” 

Chanzo 


Ni aina ya unafiki na nadhani wana kitu cha ziada zaidi ya Katiba, haiwezekani kila siku zitafutwe sababu za kukwepesha mwafaka.  Inaonesha kuwa watu hawana nia njema na dhamira ya Rais Jakaya Kikwete na Watanzania ya kuwa na Katiba mpyamambo ya ajabu kabisa, 

Nape Nnauye.
 

No comments:

Post a Comment