“Mtoto apewe chakula kizuri zaidi kuliko baba lakini familia nyingine
ikipika nyama, nyama zote anapewa baba, paja, kidari… mtoto anaambulia
mchuzi, jalini afya za watoto wanahitaji chakula bora viungo vyao
vinakua unamjazia baba nyama zote hazimsaidii mwilini anapata presha
tu,”
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia Simba
No comments:
Post a Comment