Friday, August 1, 2014

Muungano utabaki salama?

“Hivi tumewaza kama tukiwa na serikali tatu na serikali ya Tanganyika nayo ikawa na mambo yote ambayo serikali ya Zanzibar inayo kama vile wimbo wa taifa, bendera yake na bunge lake Muungano wetu bado uko salama? 

“Je kama serikali ya Muungano ni ya nchi mbili zilizo sawa, ambazo zilikuwa zimeungana na hizo nchi sasa kila moja inajiendesha, na serikali ya Muungano kigharama ikategemea kuendeshwa na rasilimali kutoka upande mmoja, Muungano wetu hautaathirika?” 

Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye

No comments:

Post a Comment