Wednesday, August 6, 2014

Afrika si nchi moja

“Mara nyingi, Afrika inaonekana kama nchi moja badala ya bara moja, na hivyo tatizo katika nchi moja kwa urahisi sana linafanywa tatizo la nchi zote na kwa namna hasi.” 

Hii ni tofauti na Bara la Asia, ambako vyombo vya habari huelezea picha nzuri za matukio ya Afrika. 

Hii ndiyo maana kuna ongezeko la uwekezaji wa sekta binafsi ya Asia katika Afrika leo kuliko ilivyokuwa miaka 10 iliyopita,”

Rais wa Tanzania, Jakaya Kikwete

No comments:

Post a Comment