“Nje ya Muungano hakuna manufaa kwa bara wala kwa Zanzibar bali sote
kila moja ana la kupoteza. Ndani ya miaka hamsini ya Muungano Watanzania
wa pande zote mbili tumeingiliana sana kiasi kwamba si rahisi na wala
haiwezekani kututenganisha bila nusu kaputi na baada ya hapo utakuwa
umetuachia ulemavu mkubwa,”
Waziri Mkuu Mstaafu, Frederick Sumaye.
No comments:
Post a Comment