“Ajira ni tatizo kubwa na lazima lishughulikiwe. Kuna
vijana hawaendi shule, lazima watazamwe. Kuna wanaomaliza darasa la saba,
kidato cha nne, cha sita na vyuo vikuu. Nazungumza kutoka moyoni kabisa. Hizi
ni dakika za mwisho za Serikali ya Awamu ya Nne, wale wanaojipanga kwa Awamu ya
Tano kama hawataongelea ajira, basi waandike wameumia,”
No comments:
Post a Comment