“Ni imani yangu kuwa tutafikia mwisho. Mwisho upi, hilo ni suala la
Wajumbe wa Bunge Maalumu la Katiba kuamua. Muhimu ni kwamba Katiba mpya
inaweza kupatikana kutoka bungeni tu siyo kupitia mikutano ya hadhara
nje ya Bunge. Huko hakuna Katiba huko kuna mikutano ya hadhara na siasa
tu. Katiba itapatikana kwa mijadala na kwa nguvu ya hoja ndani ya Bunge
letu.”
Rais Jakaya Kikwete
No comments:
Post a Comment