Tuesday, June 10, 2014

Harusi ya Mbunge Joshua NassariHatimaye Bw Harusi Joshua Nassari anateremka katika usafiri wake aina ya Range Rover muda mfupi baada ya kufika katika viwanja vya kanisala la Kilinga maarufu kama kwa Mchungaji Babu.
Wageni mbalimbali walihudhuria ibada hiyo ya ndoa mmoja wapo ni Naibu Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai (katikati)

Bi Harusi Anande Nko akashuka katika gari alilokuja nalo aina ya Land Cruser VX.
Joshua Nassari akamvisha pete mkewe Anande Nnko.
Bibi Harusi Anande Nnko akamvisha pete mumewe Joshua Nassari
Maharusi wakipongezana.

Maharusi wakiwasalimia waumini waliohudhuria ibada hiyo (hawapo pichani)
Maharusi wakionesha pete zao za ndoa


Joshua Nassari na Anande Nnko wakionesa cheti cha ndoa.
Mzee Edwin Mtei na Mama Mtei pia walikuwa katika ibada hiyo.
Wazazi wa Maharusi ,Joshua Nassari na Bi Anande Nnko.
Bw na Bi Joshua Nassari na wakiweka Sadaka zao katika kapu la sadaka.
Maharusi wakapata nafasi ya kusalimiana na Mzee Edwin Mtei.
Ibada ya ndoa ikawa imefika tamati na maharusi wakatoka kanisani tayari kwa msafara wa magari kuelekea uwanjani.
Mbunge Joshua Nassari na Anande Nnko wakiwa mbele ya zawadi yao ya ng’ombe iliyotolewa na waumini wa Kanisa la Kilinga ambako ibada ya ndoa ilifanyika
Mbunge Joshua Nassari na mkewe Anande Nnko wakiteta 
Baba Mzazi wa Joshua Nassari, Mzee Samwel Nassari akimpongeza mwanae kwa hata hiyo.Mbunge wa Jimbo la Arumeru Mashariki ,Joshua Nassari na ,Anande Nnko wakiwa ndani ya gari muda mfupi baada ya kufunga ndoa katika kanisa la Kilinga wilayani Arumeru mkoani ArushaMharusi waki “Show Love” Picha zote kwa hisani ya jamiiblog

No comments:

Post a Comment