Wednesday, May 21, 2014

Nukuu ya leo

“Mimi ni mdau mkubwa wa umoja na mshikamano wa wananchi wa Zanzibar, sitaki kusikia lugha zenye kuashiria chuki na uhasama na kuwagawa wananchi wanaoishi katika Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,” 

SPIKA wa Baraza la Wawakilishi, Pandu Ameir Kificho

No comments:

Post a Comment