Saturday, May 17, 2014

Nukuu ya leo"Nawaambia hata mkizunguka nchi nzima, endeleeni tu, lakini tukirudi nyuma hali ya nchi siyo nzuri na tunapokwenda siyo kuzuri, kiroho nchi imetawaliwa na ibilisi,"

"Vita inaweza kutokea kwa sababu kila mtu amejiandaa kwa lolote, tukikalia haya tutaumia," 

Mama Maria Nyerere

No comments:

Post a Comment