Wednesday, April 9, 2014

Picha ya Diamond kwenya matatu


bongo

Msanii wa bongo flava nchini Tanzania, Diamond, amefurahi picha yake kuchorwa kwenye daladala nchini Kenya (matatu). Alichokisema Diamond hiki hapa.

His message on Instagram.

one of the most grateful things in life is to see the society appreciate your hard work… in real sense i jus become speechless… I got this from one of the public transports in Kenya…. ( moja ya faraja kubwa katika maisha ni kuona jamii inapokea na kusupport jitihada ya kazi zako…. kiukweli nakosa hata cha kuzungumza… hii nimeipata toka kwenye moja ya madaladala Kenya…)

Nairobiwire

No comments:

Post a Comment