Monday, April 21, 2014

P Square wazichapa kavukavu

 

 MASHABIKI wa muziki inabidi muukubali ukweli huu, hali si shwari ndani ya kundi la P Square, baada ya kutofautiana kwenye sababu ambazo hadi sasa haziko wazi, ndugu hao pacha wamezichapa kavukavu wakiwa mazoezini hadi madansa wao wakawaamulia.
 
Awali zilikuwa ni tetesi tu, lakini sasa kaka yao mkubwa ambaye pia ni meneja wao, Jude Okoye ametweet kuwa YAMETIMIA!

Soma hapo chini


I've been hearing a few stories about Peter and Paul Okoye of P-Square having issues for a while now.

 I hear they disagree on everything now...songs, videos, ideas etc...but because they are twin brothers, I figured well, they will sort things out...so I didn't write.

On Wednesday April 16th, I gathered exclusively from industry sources that the brothers fought each other physically during rehearsals. 

They had to be separated by their dancers. This is fact! 

But I decided to leave the story alone because which sibling doesn't disagree sometimes, right?

 But now their older brother, Jude Okoye, who is also their manager, just tweeted that after ten years he's done.


No comments:

Post a Comment