Rais Kenyatta na Ruto wakisalimia wananchi
Rais wa Kenya na Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Uhuru Kenyata na Naibu Rais wa nchi hiyo, William Ruto
jana walisafiri kwa barabara kutoka Ikulu ya Nairobi hadi Jijini Arusha nchini Tanzania.




No comments:
Post a Comment