“Niwaambie ukweli, Papa aliposema nikawe Askofu Dar es Salaam, unaweza
kuelewa wasiwasi niliokuwa nao moyoni, nilijiuliza watu wa Dar es Salaam
watasikiliza sauti ya mtu kutoka Tunduru, ‘Myao’ atasikilizwa na
‘Wazaramo’ wa Dar? Nilitii na lazima niseme asante kwa Wana-Dar es
Salaam,”
Askofu Mkuu, Jimbo Kuu Katoliki Dar es Salaam, Polycarp Kadinali Pengo.
No comments:
Post a Comment