Saturday, March 15, 2014

Nukuu ya leo

Hakuna Mtanganyika anayenufaika na muungano kwa namna yoyote ile.Wanufaika ni wazanzibar peke yao.

Wao wakija huku kwetu hakuna mtu anayewasumbua,na ndiyo sababu wapemba ndiyo wafanya biashara wakubwa Dar,lakini mtanganyika akijaribu kwenda kufanya biashara Zanzibar atasumbuliwa mpaka akimbie mwenyewe kwa sababu ya utanganyika wake
.
Lucas Mollel

No comments:

Post a Comment