Tuesday, March 11, 2014

Nukuu ya leo


" Ndani ya siasa wanawake wananyanyasika hasa pale wanapotafuta uongozi, utasikia mtu anasema wewe utamchaguaje mwanamke ambaye anachuchumaa wakati wa kwenda haja, haya si maneno mazuri mtu wa namna
 hiyo anamdharau mwanamke ambaye ni sawa na mama yake," Mwanasiasa mkongwe Anna Abdallah.

No comments:

Post a Comment