Thursday, March 20, 2014

Nape- Msimamo wetu ule ule, Serikali mbili

“Juzi (Jumanne)Warioba aliwasilisha Rasimu ya Katiba kwa Bunge, wapo watu walikuwa wakihoji kama baada ya uwasilishaji ule, msimamo wa CCM kuhusu muundo wa Muungano wa Serikali mbili ni ule ule, tumeona tuwatoe wasiwasi watu kwa kueleza kwamba msimamo wetu unabaki pale pale,” 

Nape Nnauye.

No comments:

Post a Comment