Friday, February 28, 2014

Nukuu ya leo

“Mtoto wa kike asiwe kitega uchumi cha familia, wazazi washirikiane na walimu katika kuwarithisha watoto elimu, wekezeni katika elimu, tusiwarithishe watoto mashamba, mali na magari bali elimu,”Mkuu wa Mkoa wa Mwanza, Evarist Ndikilo.

No comments:

Post a Comment