Friday, February 14, 2014

Lowassa, Sumaye wahojiwa Dodoma

 Waziri Mkuu wa zamani, Frederick Sumaye akiwasili kwenye ofisi za makao makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma tayari kuhojiwa.
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa akizungumza na Waziri Mkuu wa zamani Frederick Sumaye kabla ya kuanza kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi mjini Dodoma.
William Ngeleja akisubiri kuhojiwa mjini Dodoma
 Waziri Mkuu wa zamani, Edward Lowassa kizungumza na waandishi wa habari baada ya kuhojiwa na Kamati Ndogo ya Maadili kwenye Makao Makuu ya Chama Cha Mapinduzi.
 
Picha na Blog za mikoa

No comments:

Post a Comment