Wabunge wa CHADEMA wakipambana na Polisi, Bungeni Mjini Dodoma |
Mbunge wa Kuteuliwa na
Mwenyekiti wa NCCR_MAGEUZI, James Mbatia akisahangaa kuona mapambano kati ya
wabunge wa CHADEMA na Polisi Bungeni ![]() |
Mbunge wa Mbeya Mjini Joseph Mbilinyi akiwa ameng'ang'ania Migrophone ya sehemu ya Kuzungumzia wapinzani Bungeni wakati polisi walipokuwa wakimtoa Bungeni Mjini Dodoma. |
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akitolewa na Askari Polisi nje ya ukumbi wa Bunge mjini Dodoma |

Kiongozi wa Upinzani Bungeni, Freeman Mbowe akiongoza wabunge wa CHADEMA kutoka Bungeni mjini Dodoma baada ya kuamriwa kufanya hivyo na Naibu Spika wa Bunge, Job Ndugai |
Mbunge wa Mbeya Mjini, Joseph Mbilinyi akizuiwa na wabunge wa CHADEMA ili asipambane na polisi |
No comments:
Post a Comment