Thursday, September 12, 2013

Shamba la Waziri Mkuu Pinda

Silvana Nhungwe akivuna zabibu katika shamba la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo  Zuzu mjini Dodoma Septemba 11, 2013. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)
Watu wakivuna zabibu kwenye Shamba la Waziri Mkuu, Mizengo Pinda lililopo Zuzu mjini  Dodoma (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu).

No comments:

Post a Comment