Monday, August 26, 2013

Walivyomzika bilionea aliyeuawa kwa risasi


Hili ndilo Jeneza Lililokua limebeba mwili wa marehemu na lilikuwa likifunguliwa kwa rimoti "Remote control"

Mwili wa Bilionea Erasto Msuya ukiwa kwenye Jeneza.

Mke wa marehemu akitoa heshima za mwisho kwa mwili wa marehemu mumewe.

Watoto wa Marehemu.

 Mtoto wa Marehem akiaga mwili wa baba yake.

Maelfu ya waombolezaji 


Jeneza lenye mwili wa marehemu Erasto Msuya 

 Watoto wa Marehemu wakiwa wanaongoza safari ya kuelekea kaburini
  Watoto wa Bilionea Erasto Msuya wakiwa wamebeba picha za baba yao na msalaba.

Wananchi wakiwa wamejipanga wakati mwili wa marehem ukipitishwa.

Mwili wa Marehemu ukiwekwa kwa ajili ya maziko.

Dada wa Marehem akitoa neno la familia.

Mwili wa marehemu wakati wa ibada ya mazishi 
 
Askofu akiendesha ibada ya Mazishi.
Kwa hisani ya blog ya Libeneke la Kaskazini

No comments:

Post a Comment