Monday, July 15, 2013

Walivyopiga kura uchaguzi mdogo wa udiwani Arusha



 Polisi wakimsihi Mbunge wa Arumeru  Mashariki Joshua Nassari  aondoke nje ya
 kituo cha kupigia kura cha Ofisi ya kata  ya Kimandolu

Makarani wa uchaguzi wakiingiza masanduku ya kura katika ofisi ya 
kata ya Kimandolu kutoka kituo cha kupigia kura cha shule ya msingi Kimandolu. 
 Polisi wakiimarisha ulinzi katika lango kuu la kuingilia  kituo cha kupigia
 kura cha Ofisi ya kata ya Kimandolu  katika uchaguzi mdogo wa udiwani mjini Arusha. 
 Mkazi wa kata ya kimandolu akichomvya wino mara baada ya kumaliza kupigga kura.
 
 Wakala wa chama cha siasa akihakikisha kitambulisho cha mpiga kura 
 Wakazi wa kimandolu wakifuatilia majina yao ili kufahamu 
vyumba husika vya kupigia kura.

Picha zote kwa hisani ya blog ya Arusha Yetu.  

No comments:

Post a Comment