Thursday, July 18, 2013

Nukuu ya leo

“Wanaotumia jina la Mwalimu (Nyerere) wakati wao sio waadilifu ni kama wasanii, ni wadanganyifu, acheni tabia hiyo; acheni kuendelea kuwadanganya watu wanaozidi kuelimika na ambao wana akili kuliko nyinyi,”

RAIS wa Baraza la Maaskofu Tanzania, Mhashamu Askofu Tarcisius Ngalalekumtwa.

No comments:

Post a Comment