Wednesday, July 17, 2013

Mwandishi Habarileo bingwa shindano la kuonja bia

Mshindi wa mwaka huu wa shindano la kuonja bia kwa waandishi wa habari Veronika Mheta wa gazeti la Serikali Habarileo akipokea zawadi likiwemo begi, katoni mbili za bia, mwamvuli na fulana mbili.

No comments:

Post a Comment