Mapadri
wa kanisa katoliki wakiwa wamebeba jeneza lenye mwili wa mmoja wa
waliokufa katika tukio la kutupwa kwa bomu la mkono katika kanisa la
Olasiti Arusha Mei 5, 2013.
Mapadri
wakiwa wamebeba misalaba yenye majina ya marehemu wawili kati ya watatu
waliokufa kwenye tukio la bomu la kurushwa kwa mkono kwenye kanisa la
Olasiti jijini Arusha Mei 5, 2013, katika ibada ya mazishi iliyofanyika
kwenye kanisa hilo Mei 10,2013.
Askofu
wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashmu Josephat Lebulu akinyunyuzia maji miili
ya waumini wa kanisa hilo waliokufa katika tukio la kurushwa kwa bomu
la mkono kwenye kanisa la Olasiti jijini Arusha Mei 10,2013.
Kiongozi
wa kanisa Katoliki nchini, Mhashamu Polycarp kadinari Pengo akiongoza
ibada ya mazishi ya waumini wa kanisa hilo waliouwawa katika bomu
lililotupwa kwenye kanisa la Olasiti Arusha Mei 5,2-13. Kuhoto ni Askofu
wa Jimbo Kuu la Arusha, Mhashamu Josephat Lebulu.
Miili
ya waliopoteza maisha katika katika mlipuko wa bomu uliotokea hivi
karibuni katika kanisa la Mt.Joseph Mfanyakazi lililopo Kata ya Olasiti
Mkoani Arusha,ikiwa tayari kwa ajili ya mazishi. (Picha na Ferdinand Shayo)
No comments:
Post a Comment