
Picha iliyompa ushindi Mpiga Picha Bora 2012
Wasanii wa kikundi cha sanaa cha JKT kikitumbuiza kwa ngoma ya Msewe.
Katibu Mkuu wa Baraza la Habari Tanzania (MCT), Kajubi Mukajanga akizungumza katika hafla hiyo kwenye Ukumbi wa Diamond Jubilee, Dar es Salaam.
Waziri wa Habari Utamaduni na Michezo, Dk Fenella Mukangara akizungumza katika hafla hiyo.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza kabla ya kukabidhi zawadi kwa washindi.
Brass Band ya JKT iktoa burudani katika hafla hiyo.
Mpiga
Picha Bora 2012, Joseph Senga kutoka Kampuni ya Free Media,
wachapishaji wa Magazeti ya Tanzania Daima na Sayari, kabla ya
kukabidhiwa tuzo yake.
Baadhi ya washiriki walioingia katika fainali za tuzo hizo.
Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Pensheni wa PPF, William Erio
akimkabidhi tuzo ya Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga kutoka Kampuni
ya Free Media.
Picha iliyomuwezesha Senga
kushinda ni ile iliyomuonesha Polisi
akimpiga Mwandishi wa Habari, Marehemu Daudi Mwangosi wa Kituo cha
Televisheni cha Channel Ten.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mshindi wa jumla wa tuzo za EJAT 2012, Lucas Liganga.
Makamu
wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif Sharif Hamad akimkabidhi
mfano wa hundi mwandishi mkongwe aliyepata mafanikio.
Mpiga Picha Bora 2012, Joseph Senga akiwa na tuzio yake.
Mwandishi mkongwe Hamza Kasongo akiwa na mmoja wa majaji wa tuzo hizo, Mwanzo Milinga
Picha ya pamoja.
Picha ya pamoja.
Mwandishi wa Habari wa Mwananchi Communications, Anthony Mayunga akipokea tuzo yake.
Jaji Mstaafu Thomas Mihayo akimkabidhi tuzo ya mwandishi bora wa habari za watoto, Shadrack Sagati kutoka TSN.
Picha zote kwa hisani ya blog ya Habari Mseto
No comments:
Post a Comment