Tuesday, April 2, 2013

Rais Kikwete akutana na Ruto Serengeti


 Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete April Mosi , 2013 akisalimiana na Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara. Ruto alikuwa nchini kwa mapumziko ya Pasaka.
 Rais Jakaya Kikwete akisalimiana na Mke wa Ruto, Rachel Chebet, katika hoteli ya kitalii ya Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.
 Rais Jakaya Kikwete akizungumza na Makamu wa Rais wa Kenya William Ruto katika hoteli ya kitalii ya Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.
Rais Jakaya Kikwete akipozi na familia ya William Ruto katika hoteli ya kitalii ye Seronera katika mbuga ya wanyama ya Serengeti mkoani Mara.(PICHA NA IKULU)

3 comments:

  1. Very nice blog post. I certainly love this site.
    Thanks!

    My site todosomaliacomes

    ReplyDelete
  2. I don't even know how I ended up here, but I thought this post was great. I don't know who you are but
    certainly you are going to a famous blogger if you aren't already ;) Cheers!

    Feel free to visit my webpage - Quantrim Online

    ReplyDelete
  3. Your mоde of tellіng eνerythіng in thіs pοst is actually pleasant, еvery onе be
    аble to easily be aωaгe of it, Thаnκs a lοt.


    Visіt my ωeblοg: Blucig

    ReplyDelete