Nguli wa muziki wa Mwambao (Taarabu) Fatma Baraka ‘Bi Kidude’,
amefariki dunia jana nyumbani kwake Bububu Mjini Zanzibar kutokana na
kusumbuliwa na kisukari kwa muda mrefu mpaka umauti unamkuta.
Bi Kidude anatarajiwa kuzikwa leo katika makaburi ya Kitumba mjini humo saa 7 mchana.
No comments:
Post a Comment