Friday, February 1, 2013

Polisi, anayedaiwa kumuua Mwangosi wadaiwa kumdharau Hakimu


  Polisi  wakimrejesha  mahakamani mtuhumiwa  wa mauaji ya aliyekuwa mwandishi wa Kituo cha Televisheni cha Chanel Ten na Mwenyekiti wa Klabu ya Waandishi wa Habari Mkoa  wa Iringa, marehemu Daudi Mwangosi, askari  wa FFU mwenye namba G2573 Pasificus Cleophace Simoni (23) (aliyevaa kofia nyekundu ) baaada ya kutoroshwa  kizimbani kabla ya mahakama kumaliza shughuli zake, picha ya chini ikimuonesha wakati  akirudishwa mahakama. (Picha na Francis Godwin)

No comments:

Post a Comment