Tuesday, January 15, 2013

Polisi walivyowadhibiti wanafunzi IFM Kigamboni

Wanafunzi wa Chuo Cha Usimamizi wa Fedha (IFM) wakielekea kupanda Difenda huku  wakiangukiana baada ya kupigwa mabomu kwenye kituo cha Polisi Kigamboni walipofika kulazimishwa kufanya, mkutano na Kamanda Kova mbele ya Kituo  hicho badala ya eneo lililoandaliwa kwenye viwanja vya mpira vya Machava.
Wakipandishwa kwenye Difenda kwa nguvu
Askari aliyevaa nguo za kiraia akimsulubu mmoja wa wanafunzi wa IFM mbele ya kituo cha polisi
Wanafunzi hao wakielekea kwenye kituo cha polisi huku wakiamriwa kunyoosha mikono juu baada ya kuwekewa mtego na kunaswa.

Mwanafunzi akipandishwa kwenye Difenda.
Kundi hili lilijificha kwenye baa iliyopo eneo hilo wakipigwa mabomu na kuchomolewa.

Hiki ndicho kikosi Kizima kilichowadhibiti wanafunzi wa IFM ndani ya dakika 15 tu!

Kwa hisani ya blog za mikoa

No comments:

Post a Comment