Lulu akisindikizwa na askari Magereza kutoka mahakamani kwenda kupanda gari kurudi rumande.
Lulu akiingia katika gari la Magereza kurudi rumande
Msanii maarufu wa filamu anayetuhumiwa kumuua muigizaji mwenzake, Stephen Kanumba, Elizabeth Michael (Lulu), ameachiwa huru kwa dhamana lakini hakukamilisha masharti ya dhamana hivyo amerudishwa rumande.
No comments:
Post a Comment