Monday, November 19, 2012

Harusi ya Aunt Ezekiel Dubai

Aunt Ezekiel, mumewe (katikati) na Ray
Maharusi Mr & Mrs Sunday Demonte


 Rahma Aunty Ezekiel na Mumewe Sunday wakikata ndafu huku waigizaji wenzake Aunty akiwemo, Ray, JB na Cloud walioenda harusini wakishuhudia tukio
 Ray akishuhudia kwa ukaribu tukio hilo

 Mr & Mrs Demonte wakipata msosi
 Wageni waalikwa akiwemo mwenyekiti wa Jumuyia ya watanzania Dubai (mwenye kanzu ya blue) katika shughuli hiyo
 Cloud katika picha ya pamoja na Janja
Cloud na Janja wakibadilishana mawazo
 Ray katika pose na shabiki wake
 Le Familia Mashallah
 JB katika pose 
 
blog ya freebongo

2 comments:

  1. hongera dada umeolewe walisema sana juu yako but now umepata wa kufanana na wewe mmmm...ila kama kadogo hivi..je shemeji yetu ana miaka mingapi vile? na wewe je.....

    ReplyDelete
  2. hilo kweli hata mimi nimeona au ndio mwili mdogo tu coz mimeshtuka nilivomuona bwana harusi mwenyewe. all in all hongera aunt tulizana sasa.

    ReplyDelete